Friday 2 November 2012

Tusker Project Fame's Msechu Eyeing American Singing Competitions





Tanzania's representative and runner-up project Fame Peter Msechu tried out for two top American talent search reality shows namely the X-Factor and the Voice. He narrated his experience as follows:

On The Voice, "Ingawa [Msechu] ni star na ana umaarufu lakini bado amejaribu kutafuta base na kujipanua uigo na muziki wake apate fans wa kutosha. Kwa hivyo nilivyopata nafasi ya kuja Marekani nikasema ni lazima nikifanye kwa namna yote ninayoweza," Msechu says.

"Nilisafiri nikapata The Voice ilikuwa ifanyikia Los Angeles na San Francisco, kwa hivyo nilkwenda kote huko. Lakini sikufanikiwa kufanya kwa sababu lazima uwe Mmarekani, lazima uwe raia wa hapa. Ikawa ni vigumu. Nikajaribu kuuliza, kwa sisi ambao ni wageni mtashughulika? Wakasema hiyo program bado hawajaanzisha, labda mwakani wataweza kufanya hii kitu. Kwa hivyo niliweza ku-register pale na nikasema mwakani labda nitakuwepo," he further explains.
And about X-Factor, he says, "X-Factor, audition ilifanyika Nashville. Nimefika leo, audition kumbe ilifanyika jana yake kwa hivyo sikupita nafasi ya kushiriki lakini nilipata nafasi ya kuonana na washiriki na majaji. Nikajaribu kuongea nao na nikiwapata wakifanya rehearsal nikafanya nao, nikafanya African touch kidogo. Mwakani lazima nifanye utaratibu wa kuingia."
The Katenga News Team applauds Msechu's spirit. All the best in your endeavours!!!
To listen to the full interview, tune in to Willy M. Tuva's Mambo Mseto on Citizen Radio this afternoon.

No comments:

Post a Comment